CHADEMA inanuka

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,567
13,542
Hivi Tanzania daima limegeuka kuwa gazeti la kutetea wauza unga!!! Jamani CHADEMA mbona mi siwaelewi? Jamii ilikuwa imeshashawishika kuwa nyie ni wakeameaji wazuri wa ufisadi na mafisadi.

Makonda anapongezwa kila kona ya nchi na ni jana tu amefanyiwa dua maalumu kutoka kwa mashehe hapa wa Dar lakini gazeti hili linaponda jitihada anazofanyampaka kutaka aachane nazo.

Nimeshangaa sana title page yao kuandikwa eti Makonda ni hatari kisa anadili na madawa. Nimeshangaa sana
 
CHADEMA inanuka?? Inanuka CCM inayotengeneza watu wachafu,sisi tunawaungamisha na kuwasafisha hatuwezi kunuka,inanuka CCM inayokaa na watu waliooza miaka 20,wakisafishwa ndo inagundua kuwa walikuwa wachafu.CCM IMEOZA INANUKA.
 
Inanuka nanihii wako
!
 
Hakuna aliyethibitishwa na mahakama kwamba anatumia au anauza dawa za kulevya hadi sasa. Endelea tu kushangaa hujakatazwa
 
Wanukao ni wale wasiojali haki na usawa kwa raia. Hakuna mwenye kustahili adhabu mpaka awe amefikishwa kwenye court of law.
 
Endelea kushangaa kwanini mpaka Leo bado masikini na kazi yako kuwashangaa Chadema
 
Ni Nani hadi sasa amethibisha hao unaowaita Wauza Madawa ya Kulevya? Kumbuka Ni Mahakama pekee yenye uwezo wa kusema Fulani Ni Fisadi au Muuza Madawa ya Kulevya. Ni suala la Ushahidi kuweza kuithibitishia Mahakama.
Makonda kupongezwa? Kwani Ni vibaya wakimpongeza? Unataka kila mtu apongeze? Kwamba Makonda was perfect kwenye hii movie? Kama ambavyo kuna wanaompongeza nanyi mkafurahi, acheni mwingine wakosoe kwa yale wanayoyaona hayajakaa sawa.
Kuombewa Dua? Utakuwa mgeni hapa Duniani! Trump anaombewa Dua na baadhi ya Viongozi wa Dini huko kwao, similar to Mugabe, Jose Kabila, hata Idd Amin Dada, na wengine wengi wameshafanyiwa Dua sana. Sijui kwako special thing kwenye hiyo Dua Ni Nini?
Jambo jingine la kuelewa, Tanzania Daima linamilikiwa na Mbowe Company, sii CHADEMA, hili sii kama UHURU!
Mwisho kabisa, mtaji wa CCM Ni Illiterates. Since the Illiterates are the Majority in the Country, wengi wameamini kulikuwa na vita dhidi ya DAWA za Kulevya.
1. Hakuna vita ya dawa za Kulevya inayoendeshwa kipumbavu kama ilivyokuwa inaendeshwa na Makonda. Vita iliyokuwepo Ni vita dhidi ya Personalities za Watu. Weka rekodi juu ya hili. Kesi zote Serikali itashindwa na itadaiwa Fidia.
2. Vita iliyokuwepo Ni vita ya VISASI NA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA! Unatongoza unatoswa, kwakuwa wewe una Mamlaka Basi unaamua kukomoa.
3. Vita ya Madawa ya Kulevya haina double standards. Why TID, TUNDA, VANESSA, etc AND WHY NOT WEMA SEPETU? ALL OF THESE ARE VICTIMS , why double Standards?
Waziri Mkuu aliwatetea Watuhumiwa wasitajwe, Nape nae vilevile,Sianga nae vilevile, je! Hawa ni CDM?
NAKUSHAURI UKAJIPANGE UPYA.
 
Kama Manji ni muuza Dawa za kulevya mnyang'anyeni kadi ya CCM na udiwani wa mbagala.
 
Unajua kuna watu wakienda haja kubwa huwa chambi vizuri kwahiyo akitoka anatoka na harufu ya mavi kwenye makalio yake sasa kila akikutana na mtu atamwona ananuka kumbe ni harufu ya makalio yake ila tu hajajishtukia.mleta mada ni mmoja wapo unatembea na mavi halafu harufu yako unawasingizia watu wengine nenda kachambe bwana.
 
Inawezekana kweli ikawa huu ndio ukomo wa akili yako yote katika kufikiri na kupambanua mambo?
 
CHADEMA inanuka?? Inanuka CCM inayotengeneza watu wachafu,sisi tunawaungamisha na kuwasafisha hatuwezi kunuka,inanuka CCM inayokaa na watu waliooza miaka 20,wakisafishwa ndo inagundua kuwa walikuwa wachafu.CCM IMEOZA INANUKA.
Lowasaaaaa hasafishikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii yuko chadema!
 
Tunataka cheti cha Paul Makonda wacheni kuyeyusha
 
Mnduku wako ndio unanuka
 
Anapongezwa kila Konami ya wapi? Labda nyumba yako kwa maana wewe mkeo mwanao wa kiume na binti yako. Otherwise wewe uliyetumwa kumtetea tueleze juu ya kashifa yake ya vyeti
 
Inanuka kama pichu yako? Mjinga sana wewe. Vijana wa Lumumba mnaloose control kabisa. Ahakiki cheti kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…