Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.
Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.
Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
kweli huwa napandwa na hasira sana sana, kuna wapuuzi wengine wawili tuko nao kwenye Group la Siasa la Whatsapp yaani nao wanaongea upuuzi mtupuSjui huwa wakati mwingine unakosa cha kuandoka!!!!!!!! una jia skusomi kabisa mkuu!!!!!!!!!!! Laiti ungejua mikakati ya wakuu wa CDM wewe!!!!!!!!!! ila nsimwage mchele maana siwaamini sana hawa kuku.
Hivi mpaka sasa hujajua aliyesaliti chama?Sometimes ningekua na uwezo wa kutukana ningewatukana baadhi ya Members humu ndani, ni wapuuzi kuliko upuuzi wenyewe ulivyo? Dr Slaa ni nani? aliyesaliti Chama? Kama kweli ni mzalendo si angebaki bongo? Acha upuuzi wako na wenzio.
Halafu hivi kwanini mnaanzisha thread za kipuuzi kisha sisi tukianzisha ambazo zinawagusa mnasema eti WAKATI WA SIASA umeisha ni wakati wa kujenga nchi....kwahio kwa thread ya kipuuzi namna hii ndio unajenga nchi? kwa taaarifa yako Magufuli wenu huyo anatekeleza ilani ya UKAWA, ukibisha bisha ili ukalipwe. Mwambie Slaa arudi
Yaani kuna watu mnajiona mpo vizuri upstairs kumbe ni pumba tu......hata kichaa hujiona mzima
Wewe mwenyewe umeandika upuuxi.
Swissme
Sjui huwa wakati mwingine unakosa cha kuandoka!!!!!!!! una jia skusomi kabisa mkuu!!!!!!!!!!! Laiti ungejua mikakati ya wakuu wa CDM wewe!!!!!!!!!! ila nsimwage mchele maana siwaamini sana hawa kuku.
Heri mimi mpuuzi ambaye nimeitendea haki nafsi yangu kuliko nyie "wenye akili" mnaoshindwa kuzitumia. Aliesema tuna IQ ndogo hakukosea na inawezekana nyie na wengine ndio mlikua sample zake!
Hivi mpaka sasa hujajua aliyesaliti chama?
Au bado una wenge la kuzungusha mikono?
Dr mihogo hana nafasi tena CHADEMA akauze mkaa na Josephine.
Mbowe,lissu,Baregu na Mnyika hawana budi kumpigia magoti Dr Slaa kwani yote aliyotahadharisha kuhusu ujio usio na maandalizi wa Lowassa yametokea.
Mbaya zaidi mpaka sasa CDM imekosa mwelekeo baada ya kushindwa kumpata katibu kwa takribani miezi mitano.
Ni vizuri wakamuomba Slaa arejee kuwasaidia baada ya kujifunza na makosa ya gia za angani.
Kama kuna usaliti wewe ndio unayesema na hivyo unasimama kwenye position nzuri ya kueleza. Hivi tangu lini Slaa akawa kipenzi chenu...hii ni high level ya unafiki wa pro ccm. Mna akili za kushikiwa
Kuwashauri Chadema wampigie magoti Slaa haimaanishi Slaa amekuwa kipenzi cha wana ccm.
Ushauri wa kumrudisha Slaa ni ili kujenga afya ya upinzani wa kweli wenye tija kwa taifa na sio vigenge vya wahuni wanaotafuna ruzuku