Sarakasi zote zinazotokea ndani ya CHADEMA sababu kubwa ni Tundu Lissu. Chama hiki pendwa kilikuwa na uwezo wa kupata hata wabunge 150 wa kuchaguliwa lakini kutokana na kuweka mgombea urais wa ovyo ambaye ndiye aliyewaharibia hata kwenye majimbo kutokana na kauli zake tata na za ovyo.
Huwezi kuwaambia wapiga kura utaweka rehani rasilimali zao ili upate misaada kutoka nje halafu waje wakupigie kura. Kipindi hiki cha Magufuli cha miaka 5 Wananchi wengi wameamka kuhusu rasilimali zao kwa hiyo wakisikia mengine ya tofauti hawakuelewi.
Kuna watu 'decent' kama akina Mbowe na Nyalandu wangeweza kukipa chama hiki heshima kama mmoja wao angepewa kijiti cha kugombea Urais yote haya yasingetoke sasa hivi.
Hata kama wasingepata urais lakini chama kingevuna wabunge wengi. Sasa mtu ametoka huko alikotokea mkalikabidhi bendera yenu matokeo ndiyo haya.
Tuhesabu tu maumivu.