Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 45,440
- 64,222
Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA.
Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii unaonyima fursa na kuzua minyukano isiyo na ulazima au afya katika chama chenu, sioni mantiki ya mfumo huu zaidi ya hasara zaidi na risks kwenye chama.
Kama mlikuwa mnauhitaji sana wa nafasi hiyo mmengukuwa na wenyeviti wa mikoa halafu uenyekiti wa kanda unazunguka katika mikoa husika kwa kipindi labda cha miaka miwili miwili.