CHADEMA Digital na kadi za Papo kwa hapo za Augustino Mrema kuna tofauti gani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,078
164,398
Naomba kuelimishwa kuhusu hii mnayoita Chadema Digital ni nini hasa?

Je, mmewaiga CCM ambao wanasajili wanachama wao kwa njia ya mtandao tokea enzi za hayati Magufuli?

Au mmeiga ile style ya Augustino Lyatonga Mrema ya kadi za papo kwa hapo?

Majawabu Tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hamia chama digitali kumenoga John, ukifika majibu yote ya maswali Yako utapata, uanachama na KADI ya chaguo lako.
 
Mfa maji haishi kutapa tapa, baada ya kipigo cha 2025, watakuja na style nyingine.
 
Mr .Dudumisi achana na chama chakavu hamia chana digitali. Ufurahie maisha
Hahahaaha aisee mkuu Bengal unafurahisha sana. Yani unanishauri nitoke kwenye chama chakavu chenye viongozi wapya, nihamie kwenye chama digitali chenye viongozi chakavu? Sera za chama ni zilezile (ukitoa ile ya ufisadi ambayo iliondoka na dr Slaa 2015) viongozi ni wale wale (takriban miaka 20 sasa) So hapo kuna nini kipya cha kunishawishi mkuu?
 
Du hatari sn
 
Chadema ni kama kichuguu kinachomlea malkia na kutoa mchwa!
 
Hahahaaha aisee mkuu Bengal unafurahisha sana. Yani unanishauri nitoke kwenye chama chakavu chenye viongozi wapya, nihamie kwenye chama digitali chenye viongozi chakavu? Sera za chama ni zilezile (ukitoa ile ya ufisadi ambayo iliondoka na dr Slaa 2015) viongozi ni wale wale (takriban miaka 20 sasa) So hapo kuna nini kipya cha kunishawishi mkuu?
Vipo vingi ndugu, karibu.
 
Back
Top Bottom