kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,680
- 21,985
Itabidi mjilaumu mwenyewe. Mlikuwa na Dr Slaa mkaona haotoshi kwa tamaa zenu. Sasa sijui atasimamishwa nani 2020 kwa kuwa hamna utaratibu wa kuandaa Wagombea wenu mnasubiri Makapi yaliyoachwa na CCM. Kamwe msiwazie kuchukua dola na mtasubiri sana!Tukiangalia kiundana na ukweli 2015 zile kura ml 6 tulizopata,zetu halisi ni ml 2 tu,ml 2 ni cuf na ml 2 ni ccm wenyewe ambao waliopiga kura kwa chuki ya mtangaza nia wao kukatwa.Sasa tujihadhari na watu wanaondoka kwa hasira,kwa vile yule walie mchukia kila kukicha anafanya vizuri sasa ni rahisi kurudi kwenye chama chao sababu kwa sura hatuwajui,sasa hapa ni lazima uongozi uje na mkakati makini wa kutupatia mgombea makini kupata kura ml 10,tusisubiri kufanyiwa kazi na tanzania daima au mtanzania.Maana ngosha zile siasa zetu na mikakati yote ameiba alianza na M4C mwisho na sera kaiba na utendaji pia.
Itabidi mjilaumu mwenyewe. Mlikuwa na Dr Slaa mkaona haotoshi kwa tamaa zenu. Sasa sijui atasimamishwa nani 2020 kwa kuwa hamna utaratibu wa kuandaa Wagombea wenu mnasubiri Makapi yaliyoachwa na CCM. Kamwe msiwazie kuchukua dola na mtasubiri sana!
Kama mwaka 2010 alipata ml 2 kwanini asingepata mkuu?dr slaa 2015 asingepata kura hata milioni 1 ...nakuhakikishia hilo...
Kama mwaka 2010 alipata ml 2 kwanini asingepata mkuu?
kwa sasa unayemuona anaweza hata mil 1 akishindana na magufuli chadema ni nani??Popularity yake ilikuwa chini sana...asingemuweza magufuli hata chembe...hakuwa na kipya
Kwa magufuli lowasa was a perfect mshindani....nadhani wewe mwenyewe uliona ile shughuli
Kimsingi matukio yote ya kisiasa mwaka jana yalitokea kwa sababu ya Lowasa
straton Gordon Mwanyikakwa sasa unayemuona anaweza hata mil 1 akishindana na magufuli chadema ni nani??
kwa sababu yako wewe uliyotoa kuwa slaa asingeweza kushinda zaidi ya kura mil.1 kwa kuwa tu popularity yake ilikuwa chini sana wakati huo,hivi unataka kuniambia mnyika popularity yake kwa sasa ipo juu kiasi hicho cha kumshinda magufuli??straton Gordon Mwanyika
kwa sababu yako wewe uliyotoa kuwa slaa asingeweza kushinda zaidi ya kura mil.1 kwa kuwa tu popularity yake ilikuwa chini sana wakati huo,hivi unataka kuniambia mnyika popularity yake kwa sasa ipo juu kiasi hicho cha kumshinda magufuli??
Sio kweliPopularity yake ilikuwa chini sana...asingemuweza magufuli hata chembe...hakuwa na kipya
Kwa magufuli lowasa was a perfect mshindani....nadhani wewe mwenyewe uliona ile shughuli
Kimsingi matukio yote ya kisiasa mwaka jana yalitokea kwa sababu ya Lowasa
Hahaha kweli unachekesha wewe du!straton Gordon Mwanyika
Hahaha kweli unachekesha wewe du!
Mnyika!?
Umenena point kiongozidr slaa 2015 asingepata kura hata milioni 1 ...nakuhakikishia hilo...