naomba unitafute kwa namba 0714890018 . gharama inategemea na camera utakazochagua zipo kuanzia 95,000/- na kuendelea, pia vifaa vingine vinaendana na idadi ya camera kama dvr, hardisk. Nitakufanyia kazi nzuri na warranty ya mwaka mzima kwa vifaa vyote.