Pre GE2025 CCM: Wapinzani wakifa hatuwezi kulia tutawatupa Mtoni wawe chakula cha mamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
30,681
34,080
Video: Tumefikia Huku Kwenye Siasa Za Nchi!? WanaCCM Wanaimba "Wapinzani Wakifa Hatuwezi Kulia Tutawatupa Mtoni Waliwe Na Mamba"
------------------------------


------------------------------
My take: Hili Bomu Linalotengenezwa Siku Likija Kulipuka Asitafutwe Mchawi Kila Kitu Kipo Wazi.
 
Hakuna aliyewahi kuotesha bangi halafu akavuna maharage. Mungu awahurumie wote wanaoimba huo wimbo maana hawajui wanachokiotesha katika jamii yetu yenye amani.

Kuna wimbo mmoja wa bongofleva zamani kidogo ulikuwa na kibwagizo "akiwazacho mjinga ndicho humtokea" sijui ni nani vile aliimba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom