bora unyamze tu maana hayakuhusu,ccm kuna muda wakuachia madaraka kwa lazima makuachia madaraka kwa hiari,muda wa hiari huu sio wa lazima halazimishwi kikwete wala magufuli kuchukua kiti mwaka 2017 ndo lazima achukue kwahiyo msitake kukifundisha chama toka mwaka 1996 hamkuwahi kukipangia wamachague nani awe nani leo ndo mnajifanya mnajua sana sera ya kuachiana madaraka mbona hamuwahoji hao wapinzani inakuaje madaraka anatoka baba mkwe anapewa mkwe??