Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Nimeona Walaka wa Dada yangu Juliana Shonza ambao umebeba kichwa cha Habari *Msaada nyumba ya Jirani; chadema Haitajengwa na lowasa* nikafurashi sana kwani nikakumbuka kauli ya mwenyekiti wa ccm Taifa *Bw Jakaya Kikwete* katika kikao cha kamati kuu kilichoketi Mkoani Dodoma mwenyekiti aliwaambia wajumbe wasibeze kimya cha Lowasa na akaendelea kuwaasa lowasa Bado anauungwaji mkubwa wa watu.
Huo ni mkutano wa juu kabisa wa ccm na wakakubali wote kwa pamoja na kikao hicho kiliudhuliwa na vigogo wote wa ccm, ndiko la Dada yangu Shonza pamoja kauli za mwenyekiti wake nimegundua ndani ya ccm wanahofia ukimya wa Lowasa pamoja na Maneno ya lowasa kale ka kauli alikokasema mto wa Umbu Monduli ndio kamewanyima usingizi, ni kweli Lowasa kawasurubu sana ccm mwaka 2015, amewapigisha watu Push Up amewafanya watu wakate Mauno kwenye jukwaa la siasa sijui watu walikuwa wanachagua Stage Perfomance au Sera kwa hiyo sishangai kuona ccm wakimuogopa.
Ngoja nimsaidie kidogo Dada yangu Sonza juu ya kauli ya Mzee Lowasa aliosema alipokuwa kwenye Mkutano wa Hadhara Wilayani Monduli alisema *" Nitazunguka Nchi nzima kufanya mikutano kukijenga chama changu*kwani kunakosa gani Mzee lowasa kusema hivyo lowasa kama mwanachama ni wajibu wake kukijenga chama kama kwenye katiba ya chadema ibara ya 5.3.3 inavyosema kueneza itikadi, falsafa na madhumuni ya chama.
Vile vile Shonza amependa kujua kuhusuTathimini ameuliza swali eti ni lini tumekutana na kupeana tathimini juu ya matokeo ya uchaguzi mkuu ngoja nikujibu kwa kifupi viongozi wetu walizunguka kila kanda na kufanya vikao vya Thathimini na Baraza kuu iliokaa Mwanza mpaka likamchagua Katibu mkuu lilifanya Tathimini na likabariki uchaguzi ndani ya chama ufanyika mwaka 2018 badala ya mwaka 2019.
Vile vile kwa manufaa ya ccm wote nchini ameuliza ni lini imefanyika Tathimini ya Miezi sita tangu Magufuri aingie madarakani muwe na kawaida ya kuangalia Taarifa ya habari Kamati kuu iliokaa mwezi huu Mkoani Dodoma Tarehe 13 na Mwenyekiti akamteua Waziri mkuu Msitaafu Bw Fredrick Sumaye kuwa Mjumbe wa kamati kuu ili jadili juu ya utawala wa Dr Magufuri na wakaja na majawabu tena Naibu katibu mkuu John Mnyika ndio aliongea na waandishi wa habari awali.
Vile vile ameamua kutumia fallacy of Generalization ili kubariki mawazo yake kuwa wananchi Viongozi nawanachadema wanamuunga mkono Serikali ya ccm chini ya Magufuri juu ya utumbuaji Majipu nipende kukumuambia mpaka wagogo walikuwa kwenu wamehama wamechukia Bunge kufanyikia chumbani kwa Nape wanauliza kunywa pombe ni kosa kubwa kuliko ufisadi wa Bilioni 37 wa kitwanga na *Lungumi* wamesema kuwa muache usanii kumnyesha pombe ili kuficha ufisadi uliofanywa na kampuni ya *Infoys* ya Kitwanga swaiba wake Dr Magufuri.
Haya sio mawazo yangu bali ni Mawazo ya wananchi kwenye Kongamano la Bahi walisikia kuwa kuna mbunge ndio wakaja kwa wingi kutoa kero zao kule mlikokuwa mnachota kura napo wameanza kuwashitukia hiyo kasi ya Magufuri ya kuwanyima haki wananchi kuliona Bunge Live utaona utakuja kuniambia huu Mwendo kasi wa Magufuri unaua wananchi sasa hivi wanaenda kwa taadhali huku wakisahau kama huwa kuna chai.
Juu ya watu kuhama hivi ni vyama vya siasa Ruksa kuja na kuondoka usitake kutuaminisha kasi ya Magufuri ndio imewafanya watu waondoke chadema, ninaomba kukuulize swali Wewe Shonza ulivyohama ni kwa sababu ya kasi mpya ya kikwete au waache watu wahame ni haki yao kuhama, juzi tumempokea Katibu wa ccm Segerea je nae unamzungumziaje.
Kuhusu takwimu ilitolewa na vijana wa Lumumba the Most influencial figure ameshalinzunguzia Great thinker Malisa huwezi leta majibu ya tafiti ya mwaka 2016 mwezi wa 4 yaani hiyo sio tafiti yaani Mfungaji bora wa mpira mwaka 2016 unampata kwa mwezi minne tu ya mwanzo utakuwa unachekesha sana.
Shonza Ameuliza Swali Lowasa is the right person kukijenga chadema mimi ninamjibu yes na akaendelea kuuliza kwamba he's Influencial enough mimi ninamjibu je wewe ni Influencial enough kumzidi lowasa ulipokuwa unasema ulikijenga chadema na hivi sasa wewe una influence gani ndani ya ccm unaposema unaijenga tulia dada yangu piga kazi bila lowasa usingekuwa Mbunge umepiga magoti kwa kina Guramal friends wa Lowasa ndio ukatoka bila hivyo ungekuwa kama ndugu yako wa *jukwaa la wazalendo wasaka udc* Mtela Mwapamba, Muulize Magufuri mtaani kwake chato anaongozwa na chama gani ndio ujue kama ananguvu hata kwao tuulize sisi tulitoka Geita kutuambie mchezo ulivyokua.
Muacheni lowasa na mimi na wanachadema wote tusaidiane tukijenge chama chetu kiwa imara kwa ajil ya kupambana na wizi mwaka 2020 utakaojitokeza, wenye Uwezo mkubwa kama Ester Bulaya waliona hakuna kitu, Uviccm hakuna kijana Mwenye uwezo mkubwa kuliko Bavicha kiwanda cha kutengeneza vijana ndio maana ulipoondoka tu umeporomoka kisiasa hata Bungeni huchangii, pole sana na Unatakiwa ujua Lowasa ni Next Level payukeni tu yeye hajibu matokeo yake matayaona akishaanza kuzunguka na hiyo kasi yenu ambayo haionekani.
Mhere Mwita,
Mwana wa Geita,
0742530600.