LGE2024 CCM wamsubiri Mchungaji msigwa aokoe jahazi kongwe la CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,812
27,679
25 November 2024
Kyela, Mbeya
Tanzania

CCM wamsubiri mchg. Peter Msigwa, aokoe jahazi kongwe la CCM TAMISEMI 2024​

Chama dola kongwe wapiga kambi wakimsubiri Msigwa kuokoa jahazi kanda ya nyanda za juu kusini mikoa ya Iringa, Mbeya, Songwe


View: https://m.youtube.com/watch?v=4Ly77Dc2hYA
Asubuhi na mapema kiasi cha saa 12 CCM Kyela wamepiga kambi kumsubiri mchungaji Peter Msigwa afike kurekebisha hali ya kisiasa kanda hiyo

Hii ni kufuatia ziara ya mafanikio makubwa iliyoongozwa na mwenyekiti Freeman Mbowe, Joseph Mbilinyi, Frank Mwakajoka na viongozi wengine wa CHADEMA mikoa ya Mbeya, Songwe ambapo walikatiza Vwawa, Mbalizi, Kyela, Ndanto, Mbalizi, Mlowo, Rungwe, Mbozi, Chunya hadi ikabidi polisi watumike CHADEMA wasifike Tunduma kumaliza ziara hiyo.

1732538546990.jpeg

Picha: Polisi walivyotumika kukamata msafara wa CHADEMA katika msitu.

Ziara hiyo ya kikazi ya CHADEMA iliyokuwa ya mafanikio makubwa na mapokezi ya kihistoria kwa viongozi wa CHADEMA waliofika kuunga mkono kampeni za wagombea wa uchaguzi wa TAMISEMI 2024
 
Back
Top Bottom