RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,756
- 4,358
Kwa miaka kadhaa Mimi natafakari mambo mengi juu ya nchi yangu Tanzania
-Mkapa alibinafisisha viwanda vyote nchini je hao wawekezaji nini walichofanya
-Mkapa alibinafisisha viwanda vyote nchini je hao wawekezaji nini walichofanya
- Mkapa alibinafisisha mgodi wa Bulyannhulu kwa mda wote wao walikuwa wanapata hasara jiulize NI mwekezaji gani anayeweza kuchimba kwa miaka yote eti kwa madai anapata hasara bila faida , madini hayo hadi Sasa hakuna faida yoyote
- BUZWAGI hivohovo kipindi chote wanatangaza hasara
- Ipo Mwadui Shinyanga pale kwa sasa serikali inamiliki 35 %lakin hicho NI kiini macho mwenye mgodi NI taifa gas ambaye NI ROSTAM AZIZI. Hata hivyo pamoja kuwepo madini hayo manispaa ya Shinyanga bado kuna shule hazina madawati.
- Kwa sasa bahari MiTo mapori na maziwa siyo vya kwetu tena hadi Sasa tumepata faida gani