Nipo katika halimashauri Moja huku bush nimeshuhudia harakati kubwa zinavyofanyika kwa mkakati maalumu
Kwanza kabisa sikuona mawakala wa upinzani Ila nimehisi Kuna mauzauza yanayopangwa kwa mkakati mzur kabisa
Makarani wametoka vituoni wapo wanatembea nyumba kwa nyumba wakiongozwa na mtendaji wa kata katika kuandikisha wapo watu wanagoma kuandikishwa lakini huandikishwa kwa kufosiwa
Mtendaji kaenda MBALI kuwatisha baadhi ya watu waliyoko ktk mpango wa kaya masikini TASAF kwamba asipoona majina Yao kwenye daftari atawatoa kwenye TASAF
Kilichonishangaza ni undikishwaji wa watu wenye afya ya akili yaani wanaandikishwa Hadi vichaa
Mie nikahoji kuwa huyu kichaa mnayemwandikisha atapigaje kura nikambiwa yeyote aliyeandikishwa atapiga tu kura aje kituoni asije kura yake itapigwa
Upinzani kalabagaho nchi hii hamtokaa mshinde uchaguzi daima dawamo.