..ukweli ndio huo.
..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms.
..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024.
..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao bila shaka hawataki amani, wala haki.
..Chama kiteuwe wagombea wapya wanaothamini na kuheshimu haki, amani, na demokrasia.