Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,511
- 158,166
Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki.
Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima.
Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya CCM kupeleka Mwenge Msumbiji ili Mwenge upeleke amani ndugu zetu waache kuchinjana. Na iwapo Mwenge utashindwa kupeleka amani baada ya kukimbizwa mipaka yote ya Msumbiji, basi sisi Watanzania hatuna Tena sababu ya kuwa na kitu feki kinachogharimu mabilioni yetu kila mwaka bila sababu ya msingi.
CCM waliifundisha Frelimo mbinu na njia chungunzima za kuiba kura na kuchezea uchaguzi, sasa Mozambique hailkaliki na hapalaliki, ni vita na machafuko kila sehemu.