CCM ni SACCOS isiyo na Mwenyewe, CHADEMA ni Kikoba Chenye Mwenyewe

Rozela

JF-Expert Member
Jan 5, 2024
676
1,887
CCM kila mtu anajipigia anasepa.
CHADEMA shoo zote anasimamia kamanda wa anga, mjomba wangu kumbukeni kuwa mjomba ni mama.

Ambao hamjachangia kadi zenu fanyeni hima tunahitaji kuchoma mbuzi zaidi mwaka mpya.
 
Haahaa mbowe nilidhani ni mwana mabadiliko wa kweli, kumbe sivyo, umma kwa sasa unamtaka lissu yeye kachukua fomu😂😂
 
Niyeye LISSU 2025
tundu-lissu-the-presidential-candidate-of-tanzanias-main-opposition-chadema-party-speaks-to.jpg
 
Back
Top Bottom