MUULIZE SUMAYE ALITAMKA KWENYE MKUTANO WA MWISHO WA KAMPENI PALE FURAHISHA MWANZA KWAMBA LAZIMA CCM IONDOKE MADARAKANI!! JE, IMEONDOKA?Naelewa wengi mtakuwa kwenye ndoto kuwa CCM itaikalia Tz mpaka mwisho wa dunia ,mbona mnajidanganya kwa hali ninavyoiona ni suala la mida tu ,ila mnakwenda na maji ,hii kamata kamata bin vunjavunja haitowasaidia zaidi ya kuwadumaza na kubaki na mawazo ya kuitawala nchi kwa kutegemea polisi na vyombo vingine ,mpaka lini mtakuwa hamjiamini hadi ifikie kuwakamata viongozi wavyama vikuu vya upinzani ,Mandela alikamatwa na kuswekwa jela ,hivi Waafrika waliobakia uraiani waliogopa vifaru vya kaburu ?
Siuoni muelekeo wa CCM kuwa Chama kinachopendwa na wananchi muelekeo huo haupo bado wananchi walio wengi wana imani Tanzania iliyobora na yenye serikali inayopendwa na wananchi itatokea katika vyama vya upinzani ,Tanzania inayoongozwa na serikali yenye kulinda haki ya raia zake na inayohakikisha sheria haipindishwi na wengine kuwa juu ya sheria na vyama vyote vinahukumiwa kwa mujibuwa sheria itatokea upinzani na sio kutoka kwenye serikali zaCCm.
CCM haina mvuto kwa wananchi hilo nadhani halina ugonvi ,unajua wananchi bado hawapo huru ndani ya nchi yao na ndio ikaona CCM wanafanya wanavyotaka na hili sio linafanywa kwa viongozi waupinzanihata wananchi huko mitaani bado hali ni tete kwa maana inakuwa rahisi kudhulumiwa ikiwa tu atakumbana na CCM katika mahitaji ya kila siku ,tunawaona watu wanapigwa zaidi kwa sasa ni upande wa Zanzibar ,polisi hawana habari na wao huwa siku zote ni wenye kulzifanyia uchunguzi habari hizo ,
Hivi viongozi wa CCM hawajawahi kutoa viashirio vya uchochezi ? Ni lini polisi waliwaita kwenye vituo na kuwahoji ?
Juhudi za Mh.Magufuli zitakuwa hazina faida kama kuna upande unagandamizwa ,sheria zinatumikia upande mmoja ,wananchi walio wengi wakichoka na uovu basi hakuna cha kuwasimamisha na ndipo tulipo hakuna cha kuwasimamisha katika kuhakikisha liwe liwalo CCM inaondoka maddarakani.
Sio kwa aina viongozi hawa wa Ukawa...hata wewe miaka ijayo huwezi kuwasapoti.Naelewa wengi mtakuwa kwenye ndoto kuwa CCM itaikalia Tz mpaka mwisho wa dunia ,mbona mnajidanganya kwa hali ninavyoiona ni suala la mida tu ,ila mnakwenda na maji ,hii kamata kamata bin vunjavunja haitowasaidia zaidi ya kuwadumaza na kubaki na mawazo ya kuitawala nchi kwa kutegemea polisi na vyombo vingine ,mpaka lini mtakuwa hamjiamini hadi ifikie kuwakamata viongozi wavyama vikuu vya upinzani ,Mandela alikamatwa na kuswekwa jela ,hivi Waafrika waliobakia uraiani waliogopa vifaru vya kaburu ?
Siuoni muelekeo wa CCM kuwa Chama kinachopendwa na wananchi muelekeo huo haupo bado wananchi walio wengi wana imani Tanzania iliyobora na yenye serikali inayopendwa na wananchi itatokea katika vyama vya upinzani ,Tanzania inayoongozwa na serikali yenye kulinda haki ya raia zake na inayohakikisha sheria haipindishwi na wengine kuwa juu ya sheria na vyama vyote vinahukumiwa kwa mujibuwa sheria itatokea upinzani na sio kutoka kwenye serikali zaCCm.
CCM haina mvuto kwa wananchi hilo nadhani halina ugonvi ,unajua wananchi bado hawapo huru ndani ya nchi yao na ndio ikaona CCM wanafanya wanavyotaka na hili sio linafanywa kwa viongozi waupinzanihata wananchi huko mitaani bado hali ni tete kwa maana inakuwa rahisi kudhulumiwa ikiwa tu atakumbana na CCM katika mahitaji ya kila siku ,tunawaona watu wanapigwa zaidi kwa sasa ni upande wa Zanzibar ,polisi hawana habari na wao huwa siku zote ni wenye kulzifanyia uchunguzi habari hizo ,
Hivi viongozi wa CCM hawajawahi kutoa viashirio vya uchochezi ? Ni lini polisi waliwaita kwenye vituo na kuwahoji ?
Juhudi za Mh.Magufuli zitakuwa hazina faida kama kuna upande unagandamizwa ,sheria zinatumikia upande mmoja ,wananchi walio wengi wakichoka na uovu basi hakuna cha kuwasimamisha na ndipo tulipo hakuna cha kuwasimamisha katika kuhakikisha liwe liwalo CCM inaondoka maddarakani.
ulipokosea ni pale uliposema kwamba,juhudi za Makufuli zitaangushwa kwa kutokutoa haki kwenye mambo ya chama, tangu mwazo sisi kina gogo la shamba tumeshawaambieni kwamba,kwa upande wa kutoa haki Makufuli hawezi kutoa haki kati ya ccm na vyama vingine ndio maana unaona yuko kimya kwenye masuala hayo na yote hiyo ni kwa sababu ccm ndio inayofanya figisufigisu,hukitaka kuamini ngoja vyama vya upinzani viombe maandamano ya amani kupinga figisufigisu za umeya wa dar uone jinsi atakavyokuja mbogoNaelewa wengi mtakuwa kwenye ndoto kuwa CCM itaikalia Tz mpaka mwisho wa dunia ,mbona mnajidanganya kwa hali ninavyoiona ni suala la mida tu ,ila mnakwenda na maji ,hii kamata kamata bin vunjavunja haitowasaidia zaidi ya kuwadumaza na kubaki na mawazo ya kuitawala nchi kwa kutegemea polisi na vyombo vingine ,mpaka lini mtakuwa hamjiamini hadi ifikie kuwakamata viongozi wavyama vikuu vya upinzani ,Mandela alikamatwa na kuswekwa jela ,hivi Waafrika waliobakia uraiani waliogopa vifaru vya kaburu ?
Siuoni muelekeo wa CCM kuwa Chama kinachopendwa na wananchi muelekeo huo haupo bado wananchi walio wengi wana imani Tanzania iliyobora na yenye serikali inayopendwa na wananchi itatokea katika vyama vya upinzani ,Tanzania inayoongozwa na serikali yenye kulinda haki ya raia zake na inayohakikisha sheria haipindishwi na wengine kuwa juu ya sheria na vyama vyote vinahukumiwa kwa mujibuwa sheria itatokea upinzani na sio kutoka kwenye serikali zaCCm.
CCM haina mvuto kwa wananchi hilo nadhani halina ugonvi ,unajua wananchi bado hawapo huru ndani ya nchi yao na ndio ikaona CCM wanafanya wanavyotaka na hili sio linafanywa kwa viongozi waupinzanihata wananchi huko mitaani bado hali ni tete kwa maana inakuwa rahisi kudhulumiwa ikiwa tu atakumbana na CCM katika mahitaji ya kila siku ,tunawaona watu wanapigwa zaidi kwa sasa ni upande wa Zanzibar ,polisi hawana habari na wao huwa siku zote ni wenye kulzifanyia uchunguzi habari hizo ,
Hivi viongozi wa CCM hawajawahi kutoa viashirio vya uchochezi ? Ni lini polisi waliwaita kwenye vituo na kuwahoji ?
Juhudi za Mh.Magufuli zitakuwa hazina faida kama kuna upande unagandamizwa ,sheria zinatumikia upande mmoja ,wananchi walio wengi wakichoka na uovu basi hakuna cha kuwasimamisha na ndipo tulipo hakuna cha kuwasimamisha katika kuhakikisha liwe liwalo CCM inaondoka maddarakani.
Mikoa yenye ccm wengi ndio mikoa isiyo na maendeleo[/QUOT
PAMOJA NA MAPUNGUFU YA CCM KAMA ILIVYO KWA VYAMA VYOTE DUNIANI LAKINI SIYO KUFANYA MZAHA WA KUMKABIDHI DOLA LOWASSA!!
Mikoa yenye ccm wengi ndio mikoa isiyo na maendeleo
Hahahaha Kwa upinzani unaosubiria makosa ya CCM ndiyo upate pa kutokea,kwa upinzani unaosubiria CCM iteme ndiyo ipate wagombea,kwa upinzani kigeugeu unaosema furani fisadi baada ya siku anasafishwa tena.CCM itaondoka, lakini sio kwa upinzani feki uliopo sasa. Bado sana tu
Naelewa wengi mtakuwa kwenye ndoto kuwa CCM itaikalia Tz mpaka mwisho wa dunia ,mbona mnajidanganya kwa hali ninavyoiona ni suala la mida tu ,ila mnakwenda na maji ,hii kamata kamata bin vunjavunja haitowasaidia zaidi ya kuwadumaza na kubaki na mawazo ya kuitawala nchi kwa kutegemea polisi na vyombo vingine ,mpaka lini mtakuwa hamjiamini hadi ifikie kuwakamata viongozi wavyama vikuu vya upinzani ,Mandela alikamatwa na kuswekwa jela ,hivi Waafrika waliobakia uraiani waliogopa vifaru vya kaburu ?
Siuoni muelekeo wa CCM kuwa Chama kinachopendwa na wananchi muelekeo huo haupo bado wananchi walio wengi wana imani Tanzania iliyobora na yenye serikali inayopendwa na wananchi itatokea katika vyama vya upinzani ,Tanzania inayoongozwa na serikali yenye kulinda haki ya raia zake na inayohakikisha sheria haipindishwi na wengine kuwa juu ya sheria na vyama vyote vinahukumiwa kwa mujibuwa sheria itatokea upinzani na sio kutoka kwenye serikali zaCCm.
CCM haina mvuto kwa wananchi hilo nadhani halina ugonvi ,unajua wananchi bado hawapo huru ndani ya nchi yao na ndio ikaona CCM wanafanya wanavyotaka na hili sio linafanywa kwa viongozi waupinzanihata wananchi huko mitaani bado hali ni tete kwa maana inakuwa rahisi kudhulumiwa ikiwa tu atakumbana na CCM katika mahitaji ya kila siku ,tunawaona watu wanapigwa zaidi kwa sasa ni upande wa Zanzibar ,polisi hawana habari na wao huwa siku zote ni wenye kulzifanyia uchunguzi habari hizo ,
Hivi viongozi wa CCM hawajawahi kutoa viashirio vya uchochezi ? Ni lini polisi waliwaita kwenye vituo na kuwahoji ?
Juhudi za Mh.Magufuli zitakuwa hazina faida kama kuna upande unagandamizwa ,sheria zinatumikia upande mmoja ,wananchi walio wengi wakichoka na uovu basi hakuna cha kuwasimamisha na ndipo tulipo hakuna cha kuwasimamisha katika kuhakikisha liwe liwalo CCM inaondoka maddarakani.
ni mkoa upi wenye chaggadema una maendeleo?????????????Mikoa yenye ccm wengi ndio mikoa isiyo na maendeleo
PAMOJA NA MAPUNGUFU YA CCM KAMA ILIVYO KWA VYAMA VYOTE DUNIANI LAKINI SIYO KUFANYA MZAHA WA KUMKABIDHI DOLA LOWASSA!!
ccm itang'oka kiurahisi sana , tumeanza na DSM bado huko maporini tu .MUULIZE SUMAYE ALITAMKA KWENYE MKUTANO WA MWISHO WA KAMPENI PALE FURAHISHA MWANZA KWAMBA LAZIMA CCM IONDOKE MADARAKANI!! JE, IMEONDOKA?
huna point , uwezo wako upo kwenye ukabila tu , too low !ni mkoa upi wenye chaggadema una maendeleo?????????????
Huyu jamaa hayupo sawa kichwani.Fuatilia posts zake utagundua hilohuna point , uwezo wako upo kwenye ukabila tu , too low !