Ni bora aibu kuliko fedheha! kwangu mimi naona ni vizuri wakasubiri Kikwete akamaliza muda wake mpaka 2017, wakati wao kama chama wanaangalia mtu wao anaendeshaje Nchi.Kwa mwendo huu katiba ya Nchi itavunjwa na ya chama itasiginwa, mtu mmoja atabaki kuwa yeye ndio katiba, chama, muumba maendeleo, yaani ndio kamusi kuu.