Mwaka 1984 CCM ikiwa chini ya uwenyekiti wa baba wa taifa mwalimu Julius K Nyerere ilimfukuzilia mbali aliyekuwa makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi.
Jumbe alipokwa nafasi zote za uongozi alizokuwa anazishikilia ndani ya chama na serikali kwa kile kilichoitwa kuchafua hali ya hewa.
Kwa mtazamo wangu kile wanachokifanya Rais Mohamed Shein na makamo wake balozi Seif Iddi hakina tofauti na wakati mwingine ni zaidi ya kile alichokifanya Jumbe wakati ule.
Dk Shein, kiongozi wa aliyeapa kuilinda katiba ya Zanzibar, kwa kitendo chake cha kukubaliana na wahafidhina wa CCM kupora ushindi wa CUF na kung'ang'ania ikulu na hata kutangaza matakwa yake ya kurudia uchaguzi ni sawa na kupalilia vurugu na vita.
Dawa ya mtu kama huyu ni kwa chake kumfukuza kutoka kayika chama chake.
kama huelewi kitu ni bora kukaa kimya.Mwaka 1984 CCM ikiwa chini ya uwenyekiti wa baba wa taifa mwalimu Julius K Nyerere ilimfukuzilia mbali aliyekuwa makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi.
Jumbe alipokwa nafasi zote za uongozi alizokuwa anazishikilia ndani ya chama na serikali kwa kile kilichoitwa kuchafua hali ya hewa.
Kwa mtazamo wangu kile wanachokifanya Rais Mohamed Shein na makamo wake balozi Seif Iddi hakina tofauti na wakati mwingine ni zaidi ya kile alichokifanya Jumbe wakati ule.
Dk Shein, kiongozi wa aliyeapa kuilinda katiba ya Zanzibar, kwa kitendo chake cha kukubaliana na wahafidhina wa CCM kupora ushindi wa CUF na kung'ang'ania ikulu na hata kutangaza matakwa yake ya kurudia uchaguzi ni sawa na kupalilia vurugu na vita.
Dawa ya mtu kama huyu ni kwa chake kumfukuza kutoka kayika chama chake.
Lakini ukifanikiwa kukaa naye mkiwa wawili tu tena kwenye chumba mbali na watu wengine huku mmefunga madirisha na milango yote na simu zote mmeziacha nje.... Ukamuuliza kuhusu hili atakupa ukweli wake wa moyoni na utabaki mdomo wazi kwa kile atakachokuambiaAlichokitangaza shein ndio matakwa ya wahafidhina ndani ya chama chake.
Super remote controllers under the supervision of Big BenYale yote unayoyaona ni utekelezaji wa maagizo toka ccm bara!
aka lodilofaSuper remote controllers under the supervision of Big Ben