Pre GE2025 CCM: Mbowe ajiandae kujiuzulu. Tutachukua majimbo yote ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Inevitable

Senior Member
Apr 27, 2012
111
277
Rejea: Kuelekea 2025 - Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

———
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ajiandae kujiuzulu.

Makalla ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam ametoa kauli hiyo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee, wakati akizungumza na wanachama wa chama hicho ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara ya siku saba mkoani Dar es Salaam.

Akihutubia katika mkutano huo, Makalla amesema amesikia Mbowe akisema lazima wachukue ushindi wa majimbo ya Kaskazini yote na akishindwa atajiuzulu.

"Sasa nasi tumwambie na tumemrekodi kuwa ajiandae kutoka maana sisi tutachukua majimbo yote ya Kaskazini na Tanzania yote, sisi sio wabaguzi tunapiga kote, sio yeye anabagua ninajua anajiandaa na uwenyeketi," amesema.

Makalla amesema vyama vya upinzani vimekosa mvuto na mwelekeo na ndio maana watu wao wanazidi kuhamia CCM.

"Hapa kuna Diwani wa CHADEMA ataka kuja nimpokee na bado tutapiga bomu lingine mpaka wakimbiane," amesema Makalla.

Mkutano huo umehudhuriwa na maelfu ya wanachama wa chama hicho.

Chanzo: Nipashe
 
Labda kizimkazi kaskazini...wachaga hawana muda na chama chakavu miaka yote
 
Makala makala makala bado unaendelea kumla ester Mhagama! Pochi ya ccm ya uweka hazina wa ccm!
 
Nili dhani Makalla ni mgu mzima hivyo ata kuwa na mawazo ya watu wenye uelewa kumbe akili za viongozi wa Ccm zina fanana.
Mna hitaji maombi ili mbadike. Badala ya kutuambia kwa muda mlio kaa madarakani mme fanya nini na mta endelea kufanya nini, mmebaki kwenye mipasho kama mna cheza vigodoro.
Eleweni Watanzania wa leo sio wale alko waongoza Mwl. Nyerere. Tuna jielewa.
Achaneni na Chadema fanyeni yanayo wahusu. Onyesheni ukomavu wenu wa miaka 64
 
Sasa hv CCM ni mipasho siyo ile tunyoijua. Na Makalla najua anamaanisha maana Kwa wiz wa kura na kutumia nguvu za ziada balaa!
 
Rejea: Kuelekea 2025 - Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

———
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla, amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ajiandae kujiuzulu.

Makalla ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam ametoa kauli hiyo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee, wakati akizungumza na wanachama wa chama hicho ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara ya siku saba mkoani Dar es Salaam.

Akihutubia katika mkutano huo, Makalla amesema amesikia Mbowe akisema lazima wachukue ushindi wa majimbo ya Kaskazini yote na akishindwa atajiuzulu.

"Sasa nasi tumwambie na tumemrekodi kuwa ajiandae kutoka maana sisi tutachukua majimbo yote ya Kaskazini na Tanzania yote, sisi sio wabaguzi tunapiga kote, sio yeye anabagua ninajua anajiandaa na uwenyeketi," amesema.

Makalla amesema vyama vya upinzani vimekosa mvuto na mwelekeo na ndio maana watu wao wanazidi kuhamia CCM.

"Hapa kuna Diwani wa CHADEMA ataka kuja nimpokee na bado tutapiga bomu lingine mpaka wakimbiane," amesema Makalla.

Mkutano huo umehudhuriwa na maelfu ya wanachama wa chama hicho.

Chanzo: Nipashe
Na sisi CHAUMA mbona hamsemi jambo juu yetu......au mnampa heshima Mwenyekiti wetu Mzee Hashimu Rungwe. :D
 
Mkishachukua, mnavyochukua na mlivyoshachukua huko mlipochukua ni kipi cha maana mshafanya ? Hizo nguvu mgewekeza kufanya mambo proactively wala kungekuwa hakuna sababu ya kutumia kodi zetu kutuletea brah brah brah zisizo na mwisho wala tija
 
Back
Top Bottom