jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,995
- 38,271
Suala la muungano wa tanganyika na zanzibar, liko wazi kuwa huu muuungano unafaida zaidi kwa wazanzibar na hasara kwa watanganyika.
Nivile ccm kumejaa waoga, wachumia tumbo na wanafiki, ila ukweli uko wazi tanganyika tunanyonywa sana na hichi kinchi cha visiwani, vijana wetu wakitanganyika wakaosa ajira ili kuwapa nafasi za ajira wazenji, wakati huko mnakosema zenji ni sehemu ya muungano hakuna mtanganyika anayeweza omba na kupata kazi katika serikali yao ya smz, huu ni uhuni na ujinga.
Ccm acheni unafiki na uoga, hakuna asiyependa muungano ila muungano wa aina hii haufai hata kidogo, fursa ziwe sawa kwa watanzania wote iwe mtanganyika ama mzenji aishi na kufurahia utanzania wake popote ndani ya mipaka ya TZ.
Kama haiwezekani serikali 3 au moja, basi suala la ardhi na ajira ndani ya utumishi wa umma na pia kisiasa, liwe ni fursa kwa wote sio kwa watu wa upande mmoja tu(Zenji)
Eti raisi wa muungano, waziri mkuu wa muungano ila kuna mambo hawana mamlaka nayo ndani za Zenji, huu ni upuuzi, ifike wakati tuacheni unafiki.
CCM acheni unafiki na uoga,najua mnafahamu huu muuungano niwa changu changu chako ni chetu.