Hivyo ndivyo itakavyokuwa. Kwa maelezo ya kufungua miradi nk viongozi wakuu wa serikali ya CCM wakiwemo Rais, makamo wake na Waziri mkuu wataendelea kupiga siasa za kuimarisha chama chao huku wapinzani wamekatazwa.
Hivyo ndivyo itakavyokuwa. Kwa maelezo ya kufungua miradi nk viongozi wakuu wa serikali ya CCM wakiwemo Rais, makamo wake na Waziri mkuu wataendelea kupiga siasa za kuimarisha chama chao huku wapinzani wamekatazwa.
Hata wapinzani kuna maeneo wameshida. Ni ruksa kwenda kukutana na waliokuchaguwa ili uwaeleze yaliyopangwa na serikali kufanywa katika eneo husika ama jimbo au kata. Pia lazima ueleze wapiga kura wako namna unavyokabiliana na changamoto mbalimbali. Lazima uwambia wananchi maji, umeme, elimu, barabara, mikopo, na usalama katika eneo lako serikali imefikia hatua gani na kunachangamoto zipi na zitatuliwe vipi.
Haya lazima wanasiasa wafanye kwenye maeneo walioshinda. Mikutano hiyo haipaswi kuwa na sifa ya kampeni kwa maana ya kufanya ushindani na serikali bali ni mikutano ya kuhimiza wananchi kujiletea maendeleo.
Kama mwalimu ni lazima utoe mazoezi na majaribio ya mara kwa mara ili wanafunzi wafanye mtihani wa mwisho vizuri.
Sasa mtu ukae ndani miaka mitano huna unalofanya itakuwae? vyama vya upinzani vina kazi ya kuweka vema na kosa na kuwapa chama tawala kufanya masahihisho ili makosa yasisubiri uchaguzi mkuu.
wanachi ni lazima wajue ni waelimishwe wapi serikali haindi vizuri na wapi inaenda vizuri kila wakati.
Kwa maoni yangu tu haitakuwa vizuri kuacha serikali itiririke tu bila check and balances!
Vyama vya upinzani vitajitokeza wapi wakati chama tawala chenyewe kinafaidi kutangaza utekelezaji wa sera zake!