Tuna Makamba junior na Makamba senior, tuna Kikwete junior na Kikwete senior, tuna Warioba senior na Warioba junior.....tuna Mwinyi senior na Mwinyi junior....tuna Karume dynastyHuwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!
Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
Ccm kuna mabashite wengi sanaHuwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!
Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
Kama kasema hoja ni mufulisi kinyume chake ndiyo itakuwa hoja mbadala. uongozi ndani ya CHADEMA si wa kurithiana.Toa mbadala.
dynasty! Hivi viingereza vya kulala na kusoma kwenye kamusi vina shida sana. nyie semeni kwamba kila mkitafuta mtu awe "Lipumba" wa CHADEMA huwa mnashindwa mnaishia kusema kwamba CHADEMA ni chama cha ukoo. Hivi kwa mfano ni sahihi mtu kusema kwamba serikali ya sasa inaongozwa na watu toka Kanda ya ziwa na wakatoliki?
sasa Lowasa kaongezeka na kuonyesha kwamba chadema ni Mali yake hata mavazi ya chadema hayavai lkn alipokua CCM alivaa mavazi ya CCM, unajua ni kwa nini?
Tuna Makamba junior na Makamba senior, tuna Kikwete junior na Kikwete senior, tuna Warioba senior na Warioba junior.....tuna Mwinyi senior na Mwinyi junior....tuna Karume dynasty
Hao wote na wengineo wengi ni CCM dynasties
Naunga mkono hoja, ndio maana tumeshauri CCM itawale milele!, na kwenye uchaguzi wa rais, CCM ndio pekee waruhusiwe kugombea kutokana na long expirience ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais.Huwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!
Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
Ile mikataba ya kufilisi nchi ni nani alisaini, alikua kiongizi wa chama kipi, alishangiliwa na wabunge wa chama kipiYeah! wanakwambia eti tutashitakiwa! mko chini ya Uangalizi Salama Wa CCM msiwe na Hofu.
kwa hiyo kwa mawazo yako Makufuli ambae amekuwa waziri kwa zaidi ya miaka kumi nae ni mlala hoi? maajabuHuwo ndiyo ukweli, bila uwepo wa CCM sasa hivi tungekuwa na sisi na Nchi inayoongozwa na familia tajiri na zenye nguvu, angalia tu Chadema inaongozwa na familia ya Mbowe na Lowasa sasa hawa wangeshinda Uchaguzi there is no way wangekuja kuiachia hii nchi tena, tungekuwa na sisi na Siasa kama za Kenya na nchi nyingine za Kiafrika ambazo zinaongozwa na powerful families!
Lkn CCM hairuhusu hilo kutokea, nani alijua miaka 5 iliyopita kwamba Magufuli angekuwa powerful man in Tanzania? Hivyo CCM ina moral authority wa kuongoza Tanzania kwa sababu CCM ni zaidi ya Chama, CCM inailinda nchi yetu dhidi ya Mafisi, ...
Hauangalii hao ni asilimia ngapi ya wanachama milioni 8 ambao pontentially wanaweza kuupata uraisTuna Makamba junior na Makamba senior, tuna Kikwete junior na Kikwete senior, tuna Warioba senior na Warioba junior.....tuna Mwinyi senior na Mwinyi junior....tuna Karume dynasty
Hao wote na wengineo wengi ni CCM dynasties
Muulize lowassa na SumayeIle mikataba ya kufilisi nchi ni nani alisaini, alikua kiongizi wa chama kipi, alishangiliwa na wabunge wa chama kipi
"Potentiality" na "reality" ni vitu viwili tofauti. Wewe hata kama sikujui ni nani katika uhalisia wako, unaweza kuwa Rais kupitia CCM? Namkumbuka Mzee mmoja alikuwa anaitwa Munanka Sabi Munanka aliyejitahidi kugombea Urais kupitia CCM bila ya kuruhusiwa kugombea.Hauangalii hao ni asilimia ngapi ya wanachama milioni 8 ambao pontentially wanaweza kuupata urais