Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,299
- 4,553
Nimejitahidi kuangalia kwa kina mambo ya uchaguzi, mwenendo wa uchumi, pato la mtanzania, usalama wa nchi na upatikanaji wa chakula kumenifanya niandike huu uzi wenye tittle very complicated ila ndivyo ilivyotabia ya Chama chetu cha Mapinduzi ilikuendelea na huu uzi nitoe salaam.
Zidumu fikra za Mwalimu nyerere.
Huenda ndipo tatizo lilipo anzia,tumeishi katika misingi ya ujamaa kupitia uongozi wa Rais wa kwanza,kipindi ambacho kulikuwa na party supreme with power concentrated on the one hand/government/judiciary/executive or personal leader.
Misingi hii ya ujamaa imejenga hofu na ujinga kwa Watanzania, tumekosa misimamo thabiti ya kisera,uongozi na sheria kwa sababu ya chimbuko la itikadi tuliyoipitia.
CCM inakusanya watu wengi wenye akili ambao ni wapo propoganist,economist,artist,lawyers e.tc
Ukitumia mfumo huo wa kisiasa ambao upo CCM unakuja kudugundua kuwa bado CCM ipo katika misingi ya kijamaa ila ndani yake kuna ubepari, hakuna farasi mmoja atakaeweza kuhudumikia bwana wawili ndiyo sababu kubwa ya mambo mengi kuyumba.
athari zake zimejitokeza kwenye uchumi na kijamii,makosa yanafanywa mengi ila muitikio ni mdogo kwa watendaji, uchumi hafifu usiyokuwa imara wakati wote ni matokeo ya sera mbovu za uchumi,kutokuwepo uwajibikaji na uwazi kwa watendaji kunachangia kuharibika kabisa kwa dola ya Tanzania.
Weledi wa CCM umebakia kutumia karata ya ujamaa katika kuwavuta wananchi ila maisha ya viongozi wao na chama imebakia kuwa mali ya kibepari.