Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,548
- 39,008
Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kweli ni kama mashindano ya mtaani tu maarufu kama ndondo.
Lakini pamoja na hiyo CCM inaonekana imepania kiharamu kushinda uchaguzi huu.
Ingawa watu hawana tena Imani na mifumo ya kuendesha chaguzi hapa Tanzania, lakini CCM wanahaha kulazimisha kushinda.
Hali ya mambo ilivyo kwenye uchaguzi huu, CCM imeweka wasimamizi wao, na wanatumia kila hila kushinda. Kwa kweli nguvu wanayotumia CCM ni dalili kuwa CCM haipo ila kuna kikundi kidogo cha watu wanaoitumia CCM kwa maslahi Yao.
CCM kweli imechoka.