The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 3,767
- 9,230
CCM wanchokifanya najua hata wao kuna muda wanajistukia sasa upandacho ndicho utakachovuna.
Watanzania wa sasa siyo wa mwaka 70. Siasa za CCM ni za kishamba sana. Kwa kuwa watanganyika washajua mbinu zenu zote za uovu basi njiandae kwa lolote huku mtaani kila mtu kanuna mikoani ndo balaa zaidi.
Basi endeleeni kujichimbia kaburi. Akili yangu inasema hivi muda ni mwalimu mzuri sana. Sidhani kama kuna mtu aliamini Babu seya angetoka Gerezani ukonga.
Na log OFF