CCM bila kujua Wanakuza Popularity Ya CHADEMA na Kuifanya iwe Juu sana baada ya Kupoteza Popularity kwa Muda Mrefu hii Haiko sawa

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
11,396
25,498
Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena..

Kitendo cha CCM na Serikali kuanza kukizungumzia Kunafanya Vyombo vya Habari kuanza kukifatilia na Bahati mbaya Ufatiliaji huo unaacha Space ya Wao Kujibu mashambulizi hivyo watu wengi Kuelekeza Ngubu kuangalia Watajibu nini..

Na hiyo ni Mbaya Kwa sababu kwanza tunakaribia Uchaguzi hivyo kufanya watu waamini na kufatilia Sera za CHADEMA..

KUHUSU KATIBA KINANA KAKOSEA NA HILO LITATUMIKA KAMA TUSI KWA SISI CCM WENGINE

Nakumbuka Katika mkutano huo uliofanyika Agosti 16, 1990, Nyerere aliwaambia wajumbe kuwa mjadala wa mabadiliko ya kurejesha siasa za vyama vingi ulikuwa umeanza

"Ndugu wajumbe, uchaguzi wa sasa wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano, na rais wa
Zanzibar, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na wabunge utaendeshwa kwa kufuata katiba yetu ya chama kimoja Hatukusudii kubadili utaratibu huu kwa sasa,"
alisema Nyerere katika hotuba yake iliyochapishwa katika kitabu cha "Wosia wa Mwalimu Nyerere kwa CCM" kilichotolewa na idara ya mawasiliano ya chama hicho 1991.

"Lakini mjadala juu ya utaratibu utakaoiongoza Tanzania katika siku za mbele umeshaanza na ni matumaini yangu kwamba utaendelea."

Mwalimu Nyerere alieleza umuhimu wa kufuata katiba ya wakati huo ya chama kimoja na athari zake kisheria kwa anayeukiuka hadi hapo itakapobadilishwa Na alipenda sana Mchakato wa Katiba uendeshwe kwa Miaka hadi miaka kutokana na Mabadiliko..

Kiufupi Kinana Unakosea Kutengeneza Umaarufu kwa CHADEMA na Kusahau Chama Chetu wakati huo hatuna Katibu mwenezi Mzuri wa Kueneza..

LEo Nimebubujikwa na Machozi sana na kutetemeka sana kama Lucas
 
CHADEMA ni kama maji, Lissu endelea kukanyaga accelerator abiria tumefunga mikanda
 
Back
Top Bottom