Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,956
- 5,330
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuheshimu viongozi waliopo madarakani hadi muda wao utakapokamilika rasmi kwa mujibu wa kalenda ya chama.
Ameyasema hayo hii leo February 28, 2025 alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake makao makuu ya CCM mkoa wa Arusha huku akionya juu ya tabia ya baadhi ya viongozi na wanachama kupuuza taratibu na kuanza kampeni kabla ya wakati.
Ramsey ametumia tukio la kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Februari 24, 2025, ambapo baadhi ya madiwani walimtaka Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda kuchukua fomu ya ubunge.
Aidha amesisitiza wanachama wa chama hicho kuheshimu kalenda za chama na kuonya matukio kama hayo yasisijirudie tena.
Video: Jambo TV
Soma, Pia