Catched somewhere!!! Shituka mapema?

masanjamkandamizaji

Senior Member
Oct 30, 2014
171
72
Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa,yaani SURA KALI....SHEPU HILOOO...MIGUU YA UKWELI..AMESOMA VIZURI..Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU jua kuna kitu kimoja tu somewhere hakiko sawa...HUWEZIPEWA VYOTE wanasema Wahenga...Wengine Wazuri kinomaa kama amejiumba lakini INJINI rejeta inavuja,Ukipiga utadhani Unafua Maturubai...Mtera Si Mtera Ruvu Chini Si Ruvu..Balaa! Mwingine mzuri mpaka basi ila ana KIFAFA...Katikati ya mechi demu anazima unaanza kumpepea na The Guardian...
Wengine wazuri ila wana mashetani ukifika nae Room Maruhani yanapanda anakupiga LOBA mpaka unahisi umeshikwa na Baunsa wa Billz Usione demu mkali anakuzungusha ukadhani hataki KULIWA...Wana siri nzito wanajua wakikupa ukajua UTAWATANGAZA...Anakuzungusha kulinda CV isishuke..
Kama imekutach toa yako moyoni.
 
Bwana nilikuaga na mtoto moya mkare atare ila ana athma bwana miaka miwil hakunambia ila siku ila kuna best yake ndo kaniambiaga ukwel nilidata,
 
Bwana nilikuaga na mtoto moya mkare atare ila ana athma bwana miaka miwil hakunambia ila kuna best yake ndo kaniambiaga ukwel nilidata,
 
Bwana nilikuaga na mtoto moya mkare atare ila ana athma bwana miaka miwil hakunambia ila siku ila kuna best yake ndo kaniambiaga ukwel nilidata,

Naona uliambiwa tu ...
Sasa usiombe ukutane nayo...
Unaweza toka nduki na bukta.
 
No body who is perfect kila mtu anakasoro yake tatzo binadamu huwa tunaona kasoro ya mwenzio ni kubwa kuliko yako, na hii iko hasa kwa hawa wanaojiita na kujiona wazuri maana mimi naamini wote ni wazuri ila utofaut tu ni katika matumizi ya huo uzuri, huwa wanajiona wamekamilika hasa wakiona wanaume wanakodolea macho na kujiona malaika na wengi wao kasoro zao zinahitaj uvumilivu wa hali ya juu, sasa wakiona kasoro zao zimegundulika wanakosa confidence pamoja na kasoro zao na wanakuwaga warahisi mno kwa kukosa kujiamini tofauti na wanaoonekana wabaya wana misimamo pamoja na ubaya wao
 
Hahahaaaa, yani kila mtu anakasoro si me wala ke! Ko tueleweshane pande zote!
 
No body who is perfect kila mtu anakasoro yake tatzo binadamu huwa tunaona kasoro ya mwenzio ni kubwa kuliko yako, na hii iko hasa kwa hawa wanaojiita na kujiona wazuri maana mimi naamini wote ni wazuri ila utofaut tu ni katika matumizi ya huo uzuri, huwa wanajiona wamekamilika hasa wakiona wanaume wanakodolea macho na kujiona malaika na wengi wao kasoro zao zinahitaj uvumilivu wa hali ya juu, sasa wakiona kasoro zao zimegundulika wanakosa confidence pamoja na kasoro zao na wanakuwaga warahisi mno kwa kukosa kujiamini tofauti na wanaoonekana wabaya wana misimamo pamoja na ubaya wao

Ningesema nimchague nan! Katka maswala ya kimapenz bas ningeanza na nawewe .
Salut xana mkuu.
 
Kwa hiyo hakuna kizuri kisicho ila,lakini wengine mbona wazuri na hawana tatizo au wanakua vikojozi manake mengine hayaonekani....na husikii jamaa akilalamika au huyo jamaa amefunzwa mkoleni?
 
Kwa hiyo hakuna kizuri kisicho ila,lakini wengine mbona wazuri na hawana tatizo au wanakua vikojozi manake mengine hayaonekani....na husikii jamaa akilalamika au huyo jamaa amefunzwa mkoleni?

Watakujibu syo muda mrefu ila ujue mambo ya chumban yana uzto wake.

Hebu ngoja nikuitie daud
 
Kwa hiyo hakuna kizuri kisicho ila,lakini wengine mbona wazuri na hawana tatizo au wanakua vikojozi manake mengine hayaonekani....na husikii jamaa akilalamika au huyo jamaa amefunzwa mkoleni?
Hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro, unaweza kuwa na muonekano mzuri wa nje kila mtu akachachawa lakin kumbe ndan una madhaifu makubwa ambayo laiti kama yangejulikana wengi wangekuwa wanakuangalia kwa mbali, Mungu alivyokuwa anaumba kila mmoja alimuumbia mtu wa kufucha madhaifu yake ndo maana akasema atakutafutia wa kufanana na wewe maana yake sio kama unajicho chongo basi upate mwenye jicho chongo kama wewe la hasha upate atakaye kusitiri na huo ujicho chongo usionekane. Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom