D Dundo_Boy JF-Expert Member Dec 29, 2015 2,458 2,465 May 16, 2017 #1 Habari, jamani wapi nitapata cartridge hiyo ya namba 83A??, na bei yake ni ngapi?? Naona mmoja ana bei yake...sasa nahitaji kujua bei ya chini naweza pata kwa gharama ipi na sehemu gani...kwa jijini Dar??
Habari, jamani wapi nitapata cartridge hiyo ya namba 83A??, na bei yake ni ngapi?? Naona mmoja ana bei yake...sasa nahitaji kujua bei ya chini naweza pata kwa gharama ipi na sehemu gani...kwa jijini Dar??