Cars made in Ghana

Hawa jamaa wanatengeneza mpaka injini zao wenyewe
 
Wametengeneza waghana au zimetengenezwa huko halafu wanaziunganisha tu
kaka kila kitu Ghana na most of the cars ni electric cars wanazo SUV, Pickups and saloon cars. walianza kutengeneza kitambo lakini kwaajili ya maonyesho, wameanza kutengezeza rasmi kwa biashara on May 2014.
 
Dah..,Hongera zao, wameshapunguza utegemezi kwa kiasi fulani..
 
Dah..,Hongera zao
Kwadwo Safo Junior, Chief Executive Officer (CEO) of the Katanka Group of Companies, told Xinhua that the automobile plant was capable of producing 150 vehicles within a month.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…