Career vs Vocational

The Lost Boy

JF-Expert Member
Nov 24, 2020
248
310
Wapwa habarini za mchana. Kumradhi wenye kujua maana na tofauti ya maneno haya mawili ya kiingereza naomba anijuze. Ahsanteni
 
Career ni taaluma inayopatikana kwa mda mrefu(mchakato) mfano udaktari uhandisi na nk.


Vocational ni mafunzo ya mda mfupi tu kwa ajili ya kazi fulani mfano udereva ufundi seremala , mtu mwenye mafunzo haya anaweza kuendelea kitaaluma,mfano ( seremala ) kwa career ya uhandisi.
 
Back
Top Bottom