A
Majengo mbona kama ya shule ya sekondari. Mbona Jordan University na RUCO pako vizuri sana,hapa pana nini na ni chuo kikongwe?
Ada zote wanazokusanya hiyo ndiyo hostel waliyoweza kujenga?
Naamini mamlaka zitaona watafanyia kazi.Mbona kama mabanda mabanda tu?