Can someone lend me 200k?

kila la kheri...
 
sister sijui mkaka. laki 2 ni hela ndogo sana na ni nyingi sana mtu kuitoa kisa post yako jf..

kama kweli una nia na una wazo bora weka mchanganuo humu wa utachokifanyia.. tufanye reasoning kwanza kisha tujue tunakusaidiaje..

au huo mchanganuo waandikie kaka zako, dada zako marafiko etc nina imani hakuna mtu mgumu kutoa hela kwenye wazo bora maana najua ukifaidika na yeye aliyotoa hela atafaidika tu hata kwa heshima kubwa...

binafsi uwezo wa kukuazima laki 2 ninao ila hadi nipate majibu yaliyonyooka ya biashara yako na nakuhakikishia wazo lako likinishawishi kwamba sio janja janja.. nakupa 100,000 cash hiii sitakudai hata kidogo na kukupigia harambee humu humu kwa msaada wa max na other moderators unaipata leo leo laki 2... au zaidi + laki 1 yangu ya bure sio mkopo

nimesema hivi maana wasaniii wengi siku hizi...

pm sio nzuri weka hapa hapa kwenye mwanga tusome kwa uhuru.. maana pm ni gizani.. na gizan yanayofanyikaga sio mazuri... akili za gizan rahis kushawishika mwisho wa siku deni limebadilika mmekuwa wapenzi
 
yaan wewe...natamani wanaosoma hapa wangekua kama wewe...napata tabu kuwaelewesha.
Kwani unadhani mtaji wa vocha za simu ama.mtajo wa ususi wa rasta za akona dada unaanza na mtaji kiasi gani? Just that
 
Kwa taarifa yenu kuweni makini kunastaili mpya ya kusaka watu wa JF wanaohitajika kujibu tuhuma za uchochezi ... so be ware guys kwa wale wenzangu tulio jificha nyuma ya ID fake usije kumlaimu mtu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…