Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,583
- 23,400
Simba imepoteza mechi moja na droo. Camara amesababisha goli la kizembe ambapo alipaswa ama kuuacha uende nje ama kudaka na alipotema kuurukia tena.
Kuanzia jana, Simba wamerusha taulo ulingoni, Yanga hawapotezi tena mechi na Simba hatokaa kumkutia Yanga.
Kayoko naye ni mhsika, wakati wa faulo hatoi faulu, mwamuzi uwe calm, uwe na hekhma, msimu ulipita mechi mbi ya Azam na Simba .
Aliamua kuchukua kitanzi na kuininginiza Simba, Matukio mawili ya Kibu Dennis ni Penalty, very clear lakini KAYOKO anayeshutumiwa kujengewa nyumba ya kifahari na bwana mmoja mwenye asili ya ghuba anafunga macho.
Tukio la kwnza, muadhir alipiga mguu wa kushoto wa kibu, ilikuwa penalty.
tukio la pili, Kibu na Shedrak boka, akamuangukia Aucho, lakini Kayoko amewatia Simba kitanzini na haitajirudia.
Simba amenyimwa PENALTY TATU.
Wakati wa mashabiki wa Simba kumkataa Kayoko.?