CAG ataripoti vipi hela ambazo zimetumika bila idhini ya Bunge?

ngararumu

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
468
188
Wakuu na wataalam wa udhibiti na ukaguzi wa hesabu za fedha nina mashaka na fedha zinavyotumika nje na bajeti iliyopitishwa na bunge, sina uhakika kama Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za serikali kama ataweza kuainisha namna zilivyotumika zaidi ya kusema hazijulikani zilipo, Naona mkuu anajichukulia fedha tuu na kufanya matumizi ambayo hayana baraka za Bunge, naomba kuwasilisha
 
Kazi ya CAG ni kukagua fedha zilizotoka Hazina na Halmashauri zimetumika kwenye matumizi yaliyokusudiwa?
 
Acha ushamba wewe!
Hivi kusema pesa zinatumika nje ya budget iliyopitishwa na bunge ni ushamba? are u crazy? ulichotakiwa kuhoji ni atoe ushahidi kama ni kweli. sio namna ulivyoandika! Unatakiwa kutumia akili zako na sio miwehuko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…