CAF yaiengua Kenya kuandaa Chan 2025 waambiwa viwanja vyao havina vigezo

Hata ukiangalia ligi yao inachezwa kwenye viwanja vibovu kiasi cha kushusha shauku ya kuendelea kufuatilia soka lao
 
Nimelia sana kusikia kuwa uwanja wa Kasarani na vingine havina hadhi ya kuandaa michuano ya CHAN 2025
nafasi yao imepelekwa kwa Rwanda
Poleni wakenya
Jana niliona taarifa kupitia BBC, waziri wa michezo Kenya akikanusha hizi habari na akadai wako kwenye ukarabati mkubwa wa viwanja husika kujiweka tayari kwa mashindano.
 
Back
Top Bottom