Habari wana JF,
Tayari tunafahamu kuwa timu nane hapa chini zimefanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Africa, je kwa mtizamo wako ni timu ipi inaweza kuwa bingwa mwaka huu? Je unadhani timu zote hizi zilistahili kufikia level hii au baadhi zilipangwa na timu dhaifu? Je nini tunachoweza kujifunza kama Nchi (Tanzania) katika kuandaa timu zetu siku za usoni?
Last Eight teams are :-
1. ES Setif (Algeria),
2. Zamalek, (Egypt),
3. Zesco (Zambia),
4. AS Vita (DR Congo),
5. Wydad (Morocco),
6. Enyimba (Nigeria),
7. Al Ahly (Egypt),
8. ASEC Mimosas (Cote d'Ivoire)