Kuna Bachelor ya C language siku hizi?
linux sio overnight project kaka ni vema uanze kuwaza vitu vidogo kabla ya kwenda huko mbali labda kama kutengeneza baadhi ya applications ambazo zinaweza ku function kwenye Linux au hata kwenye Windows.
Inabidi uanze kutafuta libraries kulingana na mahitaji yako mfano unaweza kuanza hata kutengeneza File streams,kufungua na kuandika au kusoma katika Text files unaweza kufanya string manipulations ukafanya Regular expressions ku search baadhi ya maneno kwenye sequence ya maneno fulani e.t.c
Unaweza kutafuta Library za Socket programming ukatengeneza Chat applications na vitu kadha wa kadha.
hivo unaweza kuiona C language inafanya hizo maths ila kuna vitu vingi sana unaweza kufanya muhimu ni kushika basics kwanza