much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 9,612
- 14,080
Upinzani watasema tutashitikiwa miga
Upinzani watasema tutashitikiwa miga
Argument hii imekaa ki ngiringiri sana yaani full mkurupuko!
This dam is a game changer for tanzania, nimeenda zambia kwa kweli wapo kwenye mateso makubwa sana, na joto hili umeme unakatwa masaa kumi na sita kwa siku, kwa kweli kuna nchi za kuonea huruma
Wazo zuri na la maana kabisa mkuu.Tukae chini na Songas watuuzie hizo gas turbines + plant yote.
Hao raia wote wanaofanya kazi hapo waajiliwe na mishahara yao hiyohiyo + management, hata kama ni wazungu waajiriwe tu.
Hiyo plant ibaki kama standby plant during peak time na wakati WA shutdown ya plant nyingine ibaki kama backup plant.
hizo screper za kazi gani? waruhusiwe kuuza umeme au wazihamishie congoTukae chini na Songas watuuzie hizo gas turbines + plant yote.
Hao raia wote wanaofanya kazi hapo waajiliwe na mishahara yao hiyohiyo + management, hata kama ni wazungu waajiriwe tu.
Hiyo plant ibaki kama standby plant during peak time na wakati WA shutdown ya plant nyingine ibaki kama backup plant.
hapana wazo la hovyo sanaWazo zuri na la maana kabisa mkuu.
Hata hiyo hapana uliyoandika hapa ni wazo la hovyo sana.hapana wazo la hovyo sana
Big up sana mkuunchi zote africa, upigaji huwa upo kwenye umeme.
hata Tanzania ufisadi wote mkubwa ulikuwa kwenye umeme.
scandal za RICHMOND, DOWANS, IPTL, TEGETA ESCROW zote zilisababishwa na upungufu wa umeme
ili bwawa limekuja kufuta ujinga wote, ndio maana mafisadi hawalipendi, limepigwa vita kweli kweli ila limejengwa kwa ubabe wa magufuli
Swali zuriNashindwa kuelewa hili,,, mbona Sumbawanga tunatumia umeme wa Zambia kitambo, halafu tena tuwauzie Zambia,,
Muongo kama muhongo!huwa wanapewa rushwa na wazungu ndio maana wanapinga mambo muhimu
mfano Professor muhongoo hata yeye alikuwa hataki bwawa lijengwe sababu ya kupewa rushwa na makampuni ya gesi
View attachment 3147752
huelewi wewe kinachoendelea.umeme unakatika sio kwa sababu ya bwawa jipya.
umeme unakatika sababu ya uwezo mdogo wa transmission lines, nyaya zinazosafirisha umeme ni zile zile za zamani, bwawa ni hatua ya kwanza..
baada ya bwawa kukamilika kazi itayofata ni kubadili nyaya na kuleta nyaya zenye uwezo mkubwa wa kusafirisha umeme nchi nzima
Prof alikuwa sahihi na bado yuko sahihi yule ni mtu wa Mara sio watu wa porojo nyingi na watu hawakumuelewa hoja zake kama tukitegemea bwana kuna muda maji yanapungua sana na service za hayo mabwawa ni muhimu mara kwa mara usije kushangaa mkalala giza week nzima na mlivyo wazembe kwenye ufatiliaji yy alidai umeme wa gas ni rafiki na wa kisasa zaidi kuliko Taifa kutegea bwawa tu.Bado upo sahihi. Mabwa kuna vipindi hukauka. Kuna tope loinajaa mpaka uzalishaji unapunguwa, Kwani hatuna? Si tunayo ya zamani tunajuwa matatizo yake.
Akili yako imejaa kuuza mali za watanganyika tuLeo nimeamua kutoa ushauri wa bure ambao mngetafuta consultation firm ingewapiga hela nyingi sana.
Hizi power plants zote zinazozarisha umeme, kuanzia hydro-plants, gas plants nk. Tanesco wanyang'anywe na baadala yake lianzishwe shirika lingine nje ya mfumo, CEO awe MZUNGU na wapewe hizi power plants wawauzie umeme Tanesco (waswahili).
Hawa wajitegemee, wawe na scale zao za mishahara nje ya hizi TGS sijui, wawe na separate kabisa na Serikali.
Tanesco wabaki na distribution + kitengo cha biashara, CEO watanesco moja ya target yake nikuhakikisha anatafuta wateja na kufacilitate distribution + kuwalipa power generations.
Akishindwa kuwalipa power generation maana yake ameshindwa kazi na team yake.
Power generation kazi yao kurun operation, kuipa serikali faida, kupambana na operation cost na issue zote za maintenance.
Power generation kazi yao nyingine ni kutafuta vyanzo vingine vya kuzarisha umeme, kutafuta finances na kuishauri Serikali nini cha kufanya Vs current situation ya mitambo.
Tanesco wabaki na distribution + kuuza umeme, na kutafuta wateja wapya, running cost zao zote wakitoa faida waipe Serikali Vs target ya kila mwaka.
CEO KPI zake ni kuweza kuwalipa power generation + kucover running cost zake + kuipa serikali faida na kutoa report ya distribution + customers kila quarter.
TUWE SERIOUS, HIZI NI KAZI SIO MIZAHA.
NB: Irudisheni fast - jet haraka, binafsisheni Air Tanzania haraka ( wapeni Rynair au quantas air hawana operation Africa). - nitakuja siku nyingine.
Huna akili kama huyo Prof Muhongo wakoProf alikuwa sahihi na bado yuko sahihi yule ni mtu wa Mara sio watu wa porojo nyingi na watu hawakumuelewa hoja zake kama tukitegemea bwana kuna muda maji yanapungua sana na service za hayo mabwawa ni muhimu mara kwa mara usije kushangaa mkalala giza week nzima na mlivyo wazembe kwenye ufatiliaji yy alidai umeme wa gas ni rafiki na wa kisasa zaidi kuliko Taifa kutegea bwawa tu.
ID yako tu inataja ww ni wa aina gani uko na stress sana tafuta tiba zitakuua.Huna akili kama huyo Prof Muhongo wako
Akili yako imejaa kuuza mali za watanganyika tu
Si ungesema tu tuwarudishe wakoloni tuliowaondoa kwa kufanya sherehe na kuwapiga vijembe? Mmi nilishasema mara nyingi... mwafrika hawezi kujitawala kwa sababu ubongo wake bado uko level ya chini evolution kupita races nyingine. Tukubali kuwaajiri wakoloni kwenye nafasi nyingi kadiri tuwezevyo. Tukifanya hivyo, baada ya miaka 10 tu tutakuwa kwenye stage nyingine. Ni kitu gani tunaweza? Bandari?, mwendo kasi?, SGR?, uchaguzi?, urais?Leo nimeamua kutoa ushauri wa bure ambao mngetafuta consultation firm ingewapiga hela nyingi sana.
Hizi power plants zote zinazozarisha umeme, kuanzia hydro-plants, gas plants nk. Tanesco wanyang'anywe na baadala yake lianzishwe shirika lingine nje ya mfumo, CEO awe MZUNGU na wapewe hizi power plants wawauzie umeme Tanesco (waswahili).
Hawa wajitegemee, wawe na scale zao za mishahara nje ya hizi TGS sijui, wawe na separate kabisa na Serikali.
Tanesco wabaki na distribution + kitengo cha biashara, CEO watanesco moja ya target yake nikuhakikisha anatafuta wateja na kufacilitate distribution + kuwalipa power generations.
Akishindwa kuwalipa power generation maana yake ameshindwa kazi na team yake.
Power generation kazi yao kurun operation, kuipa serikali faida, kupambana na operation cost na issue zote za maintenance.
Power generation kazi yao nyingine ni kutafuta vyanzo vingine vya kuzarisha umeme, kutafuta finances na kuishauri Serikali nini cha kufanya Vs current situation ya mitambo.
Tanesco wabaki na distribution + kuuza umeme, na kutafuta wateja wapya, running cost zao zote wakitoa faida waipe Serikali Vs target ya kila mwaka.
CEO KPI zake ni kuweza kuwalipa power generation + kucover running cost zake + kuipa serikali faida na kutoa report ya distribution + customers kila quarter.
TUWE SERIOUS, HIZI NI KAZI SIO MIZAHA.
NB: Irudisheni fast - jet haraka, binafsisheni Air Tanzania haraka ( wapeni Rynair au quantas air hawana operation Africa). - nitakuja siku nyingine.
Si ungesema tu tuwarudishe wakoloni tuliowaondoa kwa kufanya sherehe na kuwapiga vijembe? Mmi nilishasema mara nyingi... mwafrika hawezi kujitawala kwa sababu ubongo wake bado uko level ya chini evolution kupita races nyingine. Tukubali kuwaajiri wakoloni kwenye nafasi nyingi kadiri tuwezevyo. Tukifanya hivyo, baada ya miaka 10 tu tutakuwa kwenye stage nyingine. Ni kitu gani tunaweza? Bandari?, mwendo kasi?, SGR?, uchaguzi?, urais?
Wampe Bahkressa tuLeo nimeamua kutoa ushauri wa bure ambao mngetafuta consultation firm ingewapiga hela nyingi sana.