Business Partners wanahitajika: Biashara ya Maziwa Fresh & Mtindi

don-mike

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
553
1,102
  • Wanahitajika business partners wawili hadi watatu.
  • Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi.
  • Biashara itakuwa jumla na reja reja.
  • Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam.
  • Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar.
  • Partners watasimamia usambazwaji wa mzigo Dar es salaam.
  • Mtaji atleast TSH 3,000,000/=.
Plan ni kuuzwa kuanzia lita 1,000/= kwa week.

Kila lita ina gross profit ya Tsh 800/= ambayo inaweza leta net profit ya Sh 600/= ambayo ni TSh 600,000/= kwa kila week.

Wote mnakaribishwa.
 
Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar.

uko vzr pot
nipo mahala malighafi inapatikana, najua siwezi simamia mwenyewe pande zote, somewhere hapo katikati efficiency itaondoka tu. Ni bora mwingine apambane na distribution. na kwakuwa Dar mji kubwa kila mmoja anaweza jikita kwako. Atayeweka Distribution point Tegeta, hawezi ingiliana na atayeweka distribution point Sinza.
 
Pia unaweza geuza wazo lako ukasema inatafuta mteja wa kumuuzia maziwa kwa jumla na ukaweka bei unaweza pata wateja wakutosha, kikubwa bei kuwa rafiki na ubora
 
  • Wanahitajika business partners wawili hadi watatu.
  • Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi.
  • Biashara itakuwa jumla na reja reja.
  • Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam.
  • Mimi nitasimama upande wa upatikanaji wa mzigo hadi kuufikia mzigo Dar.
  • Partners watasimamia usambazwaji wa mzigo Dar es salaam.
  • Mtaji atleast TSH 3,000,000/=.
Plan ni kuuzwa kuanzia lita 1,000/= kwa week.

Kila lita ina gross profit ya Tsh 800/= ambayo inaweza leta net profit ya Sh 600/= ambayo ni TSh 600,000/= kwa kila week.

Wote mnakaribishwa.

Hv ushapata partner?? Kama hujapata tuwasiliane kk
 
Back
Top Bottom