Business managing system (POS)

Johnnybravo

Member
Nov 29, 2019
46
18
Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako kidigitali? Business management Systems inakupa uwezo wa kusimamia biashara yako kwa kutengeneza Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unatumika kwenye computer na simu pia, hivyo unaweza kutumia popote ulipo.

Inafaa kwenye biashara za Maduka, Pharmacy, Hardware store, Electronics shop na Super Markets.

Hii itakufaa zaidi wewe mwajiriwa ambaye hauitaji muda wote kuwa eneo la biashara yako na bado utaweza kuona kinachoendelea kwenye biashara yako.

Sifa zake:
1. Kutunza kumbukumbu zote za manunuzi, mauzo, madeni na matumizi kwa njia salama zaidi.
2. Itakusaidia kufanya mahesabu, takwimu na tathimini ya kila siku, wiki, mwezi na mwaka.
3. Itakuwezesha kuandaa na ku print invoices, proforma, risiti na orders zote kwa urahisi.
4. Utaweza ku print report/taarifa mbali mbali za mauzo, manunuzi, matumizi na stoo kwa ujumla.
5. Itakusaidia kuondoa wizi wa pesa na upotevu wa bidhaa zako (hapa kama stoo yako umeingiza bidhaa 100 kwa idadi basi pia kwenye mfumo zionekane bidhaa 100 zimeuzwa na si vinginevyo).
6. Kuangalia mapato na matumizi ya siku, wiki, mwezi na mwaka mzima.
7. Itakupa updates za bidhaa ulizo uza na ulizo nazo kwenye stoo zako kwa idadi.
8. Muonekano Rafiki: Inafaa kwa kompyuta na simu.
9. 24/7 Support: Huduma ya msaada kila wakati.

Tunapatikana Dar es salaam, tupo tayari kukusaidia na kuhakikisha unapata mfumo unaokidhi mahitaji ya biashara yako.
Kwa maongezi, calls and texts inbox 📩 wasap 0656130660
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…