Habari wapendwa!
Kuna mabasi yanayotoka Dar Es Salaam kwenda Mombasa - Kenya? Je kama Yapo nauli ni sh. Ngapi? na Kwa Dar nayapata wapi? Nielekezeni utaratibu.
TAHMEED, Hilo basi ndo nambari moja kwenda huko, Kwa nauli sifahamu, nadhani wana website, pia Kuna TAWAKAL pia anaenda huko...basi zote hizo ziko vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.