Busara ya Baba Askofu Bagonza kuhusu mkataba wa bandari

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
9,380
13,366
BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA?

Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini?

1. Je, imeuzwa au imekodishwa?

2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji?

3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo menejimenti?

4. Kuna wanaosemea chini chini kuwa mchakato bado haujakamilika bali ni mazungumzo; je ni mazungumzo ya nini? Kuuza? Kukodisha? Kukodi mwendeshaji?

5. Nani anafurahia hali ya sasa ya bandari yetu ya DSM na nyinginezo nchini?

6. Asilimia 70 ya pato la Taifa inategemea bandari yetu. Tukikiri kuwa imetushinda na kwa hiyo tuiuze, tuikodishe au tukodi/ kuajiri mwendeshaji - tunawezaje kuendesha nchi?

7. Kwa “bahati njema” bunge letu na serikali yetu ni kitu kimoja. Bunge linaisimamia serikali na serikali inaliendesha bunge! Ili umma upate nafuu, unahitaji kutoa kafara au mtu wa kumlaumu (Bangusilo concept).
 
Bunge inaisimamia serikali na serikali inaliendesha bunge...mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom