Bunge live sauti iko chini, je hamtaki tusikie kwa uzuri?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,106
10,173
Mimi niko ofisini ila napenda kufuatilia mambo ya bungeni kupitia chanel ya Youtube ya Bunge, kwa kweli sauti iko chini sana, yaani kwa sauti hiyo hiyo ukiweka mziki sauti inakuwa kubwa inasikia vyema ila ukiweka bunge hata sauti ikiwa 100 lazima mtu asichezesha hata miguu ili kusikia vyema. Je huu ni mkakati tusisikie kinachojadiliwa au namna gani?

Bunge jirekebisheni wekeni sauti kubwa tusikilize hoja za hao viumbe huko. Hizi channel nyingine zinachukua kutoka kwenu kwa hiyo sauti ya huko ndio inafanya hata sauti za channel nyingine ziwe chini. Tuongezeeni sauti

Ongezeni sauti
Ongezeni sauti,
Kama hamtaki zimeni bunge lenu fanyeni kwa siri.
 
Bunge gani, kusanyiko la wezi wa kura.
 
Wewe naye tutoleee upuuzi ,...!!Nani anashida na BUNGE ??Peleka maombi yako LUMUMBA KWA MACHAWA WENZAKO.
 
Kuliko kuisikiliza hao bunch of pigs ni kheri nitumie muda huo kupumzisha akili kwa kulala
 
Back
Top Bottom