Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,061
- 23,514
Haya Spika amelazimika kuahirisha bunge baada ya vipaza sauti vya wabunge wote Wa CCM
hadi kwa Spika kugoma kutoa sauti.
Mungu alivyo mwema vya wapinzani vinapiga mzigo kama kawaida, eti wanajichetua kwamba UKAWA wachawi wao yupo Zanzibar.
Yaani wamesahau wanayoyafanya gizani Mungu hapendi sasa wanalipw
Hawana jipya
Kwa hiyo wameenda ukumbi wa Msekwa kujadili ujio wa huyu jamaa?Mamvi ndani ya dom
MAONGO HAYO YAMEZIMA YENYEWEHaya Spika amelazimika kuahirisha bunge baada ya vipaza sauti vya wabunge wote Wa CCM
hadi kwa Spika kugoma kutoa sauti.
Mungu alivyo mwema vya wapinzani vinapiga mzigo kama kawaida, eti wanajichetua kwamba UKAWA wachawi wao yupo Zanzibar.
Yaani wamesahau wanayoyafanya gizani Mungu hapendi sasa wanalipwa!!
Nafikiri wenye matatizo ya kufikiri sawasawa wa nchi hii wapo chadema.siku vikigoma vya upinzani watasema wanahujumiwa
Ana tishio gani kwa CCM? Mbona walimkata na hakufanya lolote!Hatari hii...wamezima maksudi ili waende kwenye kikao cha faragha cha MACCM kujadili ujio wa mheshimiwa lowassa maana ni tishio kwa ccm.