Bunge la Lebanon lasema Hezbollah wameshindwa vita wajisalimishe!!

Echolima1

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,984
2,025
HII NI YA KUVUTIA 🔴

Mbunge wa Lebanon Walid Baarini anasema haungi mkono tena Hezbollah, alisema Hezbollah imeshindwa katika vita hivyo inapaswa kuweka silaha zake chini.

Aliongeza kuwa kujenga uhusiano na Israel kunaweza kusaidia kutatua matatizo ya Lebanon.

Wapi kasema Hezbullah kashindwa vita alicho sema yeye alikuwa anasupport resistance sa kabadilisha anadhani yeye Israel itamlinda hahaha

We dogo Hezbullah Israel kashindwa zivunja silaha za Hezbullah waweze hao wanafiki ni ndoto tu, endeleni kuota.
 
Huyo ana akili sana.
Ayatollah wa Tanzania anataka Lebanon iwe vitani tu na Israel wakati lenyewe linavuta sisha tu... Mwenzo wa uongo wa Quran na kibaka wake Allah sasa hivi unatupwa kule jalalani ukitaka vita na Israel from now on kapigane wewe mwenyewe Arabs washachoka na vita wasivyoviweza dhidi ya Watoto wa YAHWEH
 
Huyo ana akili sana.
Huyo kisha nunuliwa na US lazima aseme hivyo, mwambieni yeye basi akazixhukue hizo silaha kama anaweza 😆 Maneno yake hayawezi kuchukua silaha za Hezbullah anavyo fikiria ajiunge na Israel na USA kama anaweza wakazichukue hizo silaha.
 
Wapi kasema Hezbullah kashindwa vita alicho sema yeye alikuwa anasupport resistance sa kabadilisha anadhani yeye Israel itamlinda hahaha

We dogo Hezbullah Israel kashindwa zivunja silaha za Hezbullah waweze hao wanafiki ni ndoto tu, endeleni kuota.
Wewe Mwarabu-koko unapingaje! Elewa huyo ni mbunge kachaguliwa na wananchi wa Lebanon 🇱🇧 kubwabwaja kwako hakusaidii chochote!!
 
Hivi hawa wanaolia lia wakitaitiwa ndio wawashinde hezb? Hata mgbo wa bongo hao IDF hawawezi
Eti Hezbullah asalimishe silaha mdomo wake umevimba kama kaumwa na nyuki huyu ndio akawambie Hezbullah wasalimishe silaha huyu Wierdo kabisa 😆 😂 Israel kashindwa kwenye vita waje wao wamshinde Hezbullah kwa mdomo kama mizinga ya saba saba.
 
Endelea kubwabwaja ovyo!! Lakini Hezbollah sasa hivi wanachechemea hawana hamu. Kama mbunge wao kasema wameshindwa vita wewe Mmatumbi mwenzangu unapata wapi ujinga huo?
 
Waliaswa sana; kuibariki Israel ni kujibariki mwenyewe hawakuelewa wakaona dili kufuata njia za wapumbavu! Matokeo yake wanajifunza kwa njia ngumu!
 
Israel ndiyo nchi pekee inayotegemewa na serikali za nchi zote za kiarabu, katika kupambana na magaidi wa Iran. Ndiyo maana huwezi kusikia hata nchi moja ya kiarabu ikiwaunga mkono magaidi wa Iran.
 
Wapi kasema Hezbullah kashindwa vita alicho sema yeye alikuwa anasupport resistance sa kabadilisha anadhani yeye Israel itamlinda hahaha

We dogo Hezbullah Israel kashindwa zivunja silaha za Hezbullah waweze hao wanafiki ni ndoto tu, endeleni kuota.
Mbunge kasema hivyo wewe Mwana wa Mbwa unapinga nini?
 
Back
Top Bottom