Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha Nne, leo Aprili 11, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
4,089
13,932
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Kutakuwa pia na taarifa ya matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa tangu mkutano wa bunge uliopita.

Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu ambapo wabunge wataiuliza maswali Serikali.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom