Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,089
- 13,932
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa leo.
Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itawasilishwa mezani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI - Mohammed Mchengerwa.
"Malumbano hayo yalipelekea mradi kusimama kwa muda mrefu mpaka mwaka 2023 baada ya Mheshimiwa Waziri Mkuu kuingilia kati na baadhi ya watumishi kushtakiwa, Kamati ya Fedha, mbunge alikuwa ni mjumbe kamati ya fedha wakati huo, hakushiriki kikao husika kwa ruhusa lakini posho alichukuwa…"
Kufuatia tuhuma nzito za ufisadi alizoibua Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amewapeleka Gambo pamoja na Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, baada ya mvutano mkali kuibuka wakati wa kikao cha Bunge.