Bumembo'Bohohela'Dialo anzeni kupasha moto misuli fadhila zinakuja

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
Ni bora mkaanza kujiweka sawa kwa maaana muda c mrefu mtajiunga na timu yetu inayoitwa timu shkukiza tumbua vijipu acha viini.wenzenu Lina nape'makamba 'ummy 'nchemba'mpanju tayari wanalisakata vizuri sana.so pigeni jaramba mkiingia muendane na kasi yetu.
Spencer lameck wala usijaribu kuomba si unakumbuka mara yamwisho tulivyokujibu kwa mkato .sisi kwetu ni Kazi tuu
 
Buhoela ajiandae na Ukuu wa wilaya,Bulembo ukuu wa mkoa na Diallo kutolipa kodi kabisa kwa kampuni yake ya sahara media.(Import,export,VAT etc)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…